Waliorekebishwa maumbo waruhusiwa Mloganzila

DAR ES SALAAM: WATU wanne waliofanyiwa upasuaji wa kurekebilisha maumbo kwa kupunguza uzito wameruhusiwa kutoka katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili-Mloganzila baada ya hali yao kuendelea vizuri ambapo watapunguza kilo 20 hadi 30 kwa kipindi cha mwaka mmoja.

Mtu mmoja aliyefanyiwa upasuaji huo aliruhusiwa kutoka siku ya Oktoba 28 baada ya upasuaji kukamilika na wengine watatu waliruhusiwa kutoka siku ya Oktoba 29, 2023.

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili iliyopo jijini Dar es Salaam,Prof Mohammed Janabi leo aliwaambia waandishi wa habari kuwa upasuaji huo umefanyika kwa mara ya kwanza nchini katika Hospitali za Umma na imeandika historia ya kupafanya upasuaji wa kibingwa bobezi wa kupunguza uzito kwa watu wanne wenye uzito uliopitiliza.

Amesema upasuaji huo umefanyika kwa utaalamu wa hali ya juu ambapo wote waliofanyiwa hakuna aliyepasuliwa bali wametumia endoskopia kuingia katika tumbo na kupunguza sehemu ya tumbo la chini na pia kutumia matundu madogo.

Prof. Janabi ameongeza kuwa huduma hii imehusisha wataalamu wa hospitali kwa kushirikiana na Daktari Bingwa wa Upasuaji kutoka nchini India, Dk. Mohit Bhandar pamoja na Taasisi ya MedINCREDI.

“Tuliowafanyia huduma hii wana umri wa kati ya miaka 36-40, ambao uzito wao ni kati kilo 107 hadi 142, mmoja aliruhusiwa baada ya masaa nane na wengine watatu waliruhusiwa siku iliyofuata hivyo ukifanyiwa huduma hii haikuzuii kurudi katika majukumu yako kwa wakati” amebainisha Prof. Janabi

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
4 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Angila
Angila
1 month ago

Start your home business right now. Spend more time with your family and earn. Start bringing 99Dollars per hr just on a computer.(Qs) Very easy way to make your life happy and earning continuously…
.
.
.
This is where i started…>> http://remarkableincome09.blogspot.com

Monica Uribe
Monica Uribe
Reply to  Angila
1 month ago

I am making over $30k a month working part time. I am a full time college student and just working for 3 to 4 hrs a day. Everybody must try this home online job now by just use this Following Website

More infor…. http://Www.Smartwork1.Com

Yvonneearn
Yvonneearn
1 month ago

I’ve gained only within four weeks by comfortably working part-time from home. Immediately when I had lost my last business, mtg I was very troubled and thankfully
following website___________ http://Www.Careers12.com

Last edited 1 month ago by Yvonneearn
Ulikuwa na PROJECT YA MATRILIONI WAKATI SUMU YA PA
Ulikuwa na PROJECT YA MATRILIONI WAKATI SUMU YA PA
1 month ago

Barua ya wazi kwa RAIS WA UJERUMANI Frank-Walter Steinmeier 

Mabaki miili ya Watanzania kurudishwa nchini

 
file:///C:/Users/User/AppData/Local/Temp/msohtmlclip1/01/clip_image002.jpg
 

Mashujaa wa kuhamisha Makao makuu ya Tanzania pale  Dodoma hoyeeeeee…

HAPA KAZI TU NA KAZI ZOTE HIZO IENDELEE SIO KAZI KWELI AU TUMEENDELEA SANA

Capture.JPG
Back to top button
4
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x