Walker aongeza mkataba City
BEKI wa kulia wa Manchester City, Kyle Walker ameongeza mkataba wa miaka mitatu wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo.
Kyle Walker: “ Hatuna cha kujitetea hapa City, kila kitu tulichonacho hapa, mioundombinu, na kila kitu ipo juu,”
“Ukiangalia kila kitu kipo inakupa namna ya kuona kuwa huna sababu ya kutofanya vizuri.” ameongeza.