Wananchi wampongeza Rais Samia upatikanaji umeme
WANANCHI wa Kata ya Silaloda Tarafa ya Endagikot katika Halmashauri ya Mji wa Mbulu mkoani Manyara wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia umeme ambapo leo umeweza kuwashwa rasmi. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema utekelezaji wa mradi huo ni chachu ya maendeleo ya nchi na watu wake. … Continue reading Wananchi wampongeza Rais Samia upatikanaji umeme
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed