Wanane wajitokeza ubunge jimbo la Wete

WANACHAMA wanane wa Chama cha ACT- Wazalendo wamechukua fomu kugombea ubunge wa jimbo la Wete lililopo Pemba Visiwani Zanzibar. Miongoni mwao ni mbunge wa sasa wa jimbo hilo, Omar Ali Omar, Makamu Mwenyekiti wa Vijana Taifa Nassor Ahmed Marhun, Katibu wa Mkoa wa Wete Masoud Juma Mohamed, Mbarouk Salim Ali (Mbunge wa zamani), Ahmed Suleiman … Continue reading Wanane wajitokeza ubunge jimbo la Wete