“Napendekeza kuanzisha programu ya mikopo kwa wanafunzi wanaochaguliwa na Serikali kusoma kwenye vyuo vinavyotoa elimu katika fani za kipaumbele ambazo ni sayansi, afya, ufundi na ualimu.
–
“Hatua hii itaanza na wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa masomo wa 2023/24,” Waziri wa Fedha na Mipango Dk Mwigulu Nchemba,akiwasilisha bungeni mapendekezo ya serikali kuhusu makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2023/24, leo Juni 15, 2023