Wanawake viongozi Afrika waweka nguvu ukatili wa kijinsia

Dar es Salaam: Katika juhudi za kuifanya Afrika kuwa salama kwa wanawake na watoto, wanawake viongozi kutoka zaidi ya nchi 16 barani wamekutana jijini Dar es Salaam kuunga mkono Makubaliano Mapya ya Umoja wa Afrika ya Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Wasichana (AU-CEVAWG). Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Felister Mdemu, … Continue reading Wanawake viongozi Afrika waweka nguvu ukatili wa kijinsia