Wasanii waalikwa tamasha la muziki Morocco

TAMASHA la Kimataifa la Muziki wa Afrika ‘Visa For Music’ toleo la 11 linalotarajiwa kufanyika Novemba 20 hadi 23, 2024, katika jiji la Rabat nchini Morocco limefungua dirisha la maombi kwa wasanii wanaotaka kushiriki tamasha hilo kutoka nchi mbalimbali.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na waandaaji ‘Visa for Music’.

‘’Tunatarajia wasanii watakaojitokeza wataonyesha ubunifu mkubwa kuonyesha ukubwa wa muziki wao na kuimarisha uhusiano baina ya wasanii duniani kote.

Wasanii watanzania pia wameshauruwa kutunia fursa hiyo kwa lengo la kujitangaza, kutangaza muziki wao na kuitangaza nchi kwa ujumla kwa kujisajili katika tamasha hilo ambapo mwisho wa kutuma maoni yabushiriki ni Machi 18, 2024.’’

Dhima la Tamasha la Visa For Music kila mwaka ni kuibua wasanii wapya wenye vipaji ambao huwakutanisha na wasanii wenye majina makubwa kwa lenho la kuwatengenezea njia za mafanikio kupiyia vipaji vya muziki wanaofanya.

Habari Zifananazo

Back to top button