Washauri kulima pareto

WANAWAKE na vijana wameshauriwa kulima zao la pareto kwa sababu soko lake lipo na bei ni nzuri kwa kuwa kilo moja ya maua yake ni sh 3,500.

Pareto ni zao lililobeba kiua wadudu asili, ambayo inatengeneza dawa mbalimbali za kudhibiti wadudu shambani, ghalani na nyumbani.

Dawa aina ya X-Pel imetengenezwa kupitia pareto, inatumika kwa ajili ya kuua mbu na inzi. Inatumika kama udi, pia inatengeneza dawa ya kuua kupe kwenye mifugo.

Mratibu wa zao hilo nchini kutoka Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania ( TARI), Kituo cha Uyole Mbeya, Billes Nzilano amesema hayo alipozungumza na HabariLeo kuhusu umuhimu wa zao hilo nchini.

Nzilano amesema pareto ya Tanzania imekuwa ikiuzwa katika nchi za Marekani, Kenya, Rwanda na Japan.

“Pamoja na kupeleka huko nje tunataka kuona pareto ikitumika ndani ya nchi kwa kuendelea kutafiti na kuchakata ili kufikia mazao ya mwisho yafike kwenye nchi yetu ili wakulima wafaidi mazao ya pareto na fedha za kigeni pia,” amesema.

Amesema mbali na matumizi hayo ya kiua dudu, inatumika kama kiungo cha kusukumia perfume. Katika hatua nyingine amesema,

Tanzania ni nchi ya pili duniani kwa uzalishaji wa zao hilo, lakini ni nchi ya kwanza kwa kutoa pareto kwa ubora.

“Nchi ya kwanza kwa uzalishaji ni Australia. Nyingine ni Kenya na Rwanda,” amesema

Ameitaja Mikoa inayolima zao hilo kuwa ni Mbeya, Songwe, Njombe, Iringa, Manyara, Arusha na Kilimanjaro Kusini.

Naye Mkurugenzi wa TARI Uyole, Dk Dennis Tippe amesema kituo hicho ndicho pekee kinachofanya utafiti wa pareto.

Amesema zao hilo linafanyiwa utafiti kwa sababu miaka ya karibuni kumekuwa kukitumiwa dawa ambazo sio rafiki kwa binadam na mazingira.

” Kwa hiyo pareto ni dawa asili katika kuhifadhi mazao hivyo tunafanya utafiti wa pareto na pia tunazalisha mbegu hizi,” amesema.

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
9 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
TatiannaDelora
TatiannaDelora
1 month ago

I earn 200 dollars per hour working from home on an online job. I never thought I could accomplish it, q45 but my best friend makes $10,000 per month doing this profession and that I learn more about it.
CLICK HERE ——————->> http://www.SmartCash1.com

Emma craft
Emma craft
Reply to  TatiannaDelora
1 month ago

Scam scam every where but don’t worry , every one is not a cheater, very reliable and profitable site. Thousands peoples are making good earning from it. For further detail vs02 visit the link no instant money required free signup and
.
.
information______ https://Fastinccome.blogspot.Com/

CHUKUA KIFO HICHOO
CHUKUA KIFO HICHOO
Reply to  TatiannaDelora
1 month ago

Orodha ya mademu wanaotakiwa kuingia kwenye ka Game ka zali la Mtaliii
• Wabunge wa viti Maalumu.
• Watumishi wa umma wanawake na viongozi wa Serikali.
• Watumishi wanawake wa Banki za CRDB,NMB, AZANIA, DCB.
Tupo huku tunaaminishwa kuwa kuna kazi mbaya duniani ipo siku tutawapata kirahisi kabisa.- KUWA MKARI SANA

Mapinduzi.JPG
TerresaHamilton
TerresaHamilton
1 month ago

Single Mom With 4 Kids Lost Her Job But Was Able To Stay On Top By Banking Continuously DOLLER 1500 Per Week With An Online Work She Found Over The Internet… 

Check The Details HERE…..  https://webonline76.blogspot.com/

Last edited 1 month ago by TerresaHamilton
CHUKUA KIFO HICHOO
CHUKUA KIFO HICHOO
Reply to  TerresaHamilton
1 month ago

Orodha ya mademu wanaotakiwa kuingia kwenye ka Game ka zali la Mtaliii
• Wabunge wa viti Maalumu.
• Watumishi wa umma wanawake na viongozi wa Serikali.
• Watumishi wanawake wa Banki za CRDB,NMB, AZANIA, DCB.
Tupo huku tunaaminishwa kuwa kuna kazi mbaya duniani ipo siku tutawapata kirahisi kabisa.- KUWA MKARI SANA

Mapinduzi.JPG
Julia
Julia
1 month ago

I earn more than $145-395 an hour from my online job. I heard about this job three months ago. Once he started working, he could easily make $23,000 without any online work skills. Please try it from the dedicated site.
.
.
Detail Here——————————————————>>>  http://Www.OnlineCash1.Com

CHUKUA KIFO HICHOO
CHUKUA KIFO HICHOO
Reply to  Julia
1 month ago

Orodha ya mademu wanaotakiwa kuingia kwenye ka Game ka zali la Mtaliii
• Wabunge wa viti Maalumu.
• Watumishi wa umma wanawake na viongozi wa Serikali.
• Watumishi wanawake wa Banki za CRDB,NMB, AZANIA, DCB.
Tupo huku tunaaminishwa kuwa kuna kazi mbaya duniani ipo siku tutawapata kirahisi kabisa.- KUWA MKARI SANA

Mapinduzi.JPG
CHUKUA KIFO HICHOO
CHUKUA KIFO HICHOO
1 month ago

Orodha ya mademu wanaotakiwa kuingia kwenye ka Game ka zali la Mtaliii
·     Wabunge wa viti Maalumu.
·     Watumishi wa umma wanawake na viongozi wa Serikali.
·     Watumishi wanawake wa Banki za CRDB,NMB, AZANIA, DCB.

Tupo huku tunaaminishwa kuwa kuna kazi mbaya duniani ipo siku tutawapata kirahisi kabisa.

Mapinduzi.JPG
CHUKUA KIFO HICHOO
CHUKUA KIFO HICHOO
1 month ago

Ratiba ya Ziara ya Mary Pius Chatanda KIONGOZI wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) KWENYE SEKTA YA MADINI ATATEMBELEA:-

·     Mgodi wa Dhahabu
·     Mgodi wa Almas
·     Mgodi wa Gas
·     Mgodi wa Uranium
·     Mgodi wa Mafuta
·     Mgodi wa Makaa ya mawe
·     Mgodi wa Tanzanite
Kuanzia tarehe 23/8/2023 hadi tarehe 2/8/2023

mapinduzii.JPG
Back to top button
9
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x