Watakiwa kuongeza uelewa usawa wa kijinsia
KILIMANJARO; JAMII imetakiwa kuongeza uelewa kuhusu haki za binadamu na usawa wa kijinsia, ili kulinda na kutetea haki za wanawake, watoto na watu wenye ulemavu. Wito huo umetolewa na Mratibu wa Elimu wa Shirika la Tusonge, Consolata Kinabo, wakati wa semina ya kukuza usawa kwa kutumia haki za binadamu kwa makundi ya wanawake, watu wenye … Continue reading Watakiwa kuongeza uelewa usawa wa kijinsia
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed