Watakiwa kusambaza teknolojia uchakataji mafuta mawese

KIGOMA; TAASISI ya Utafiti wa Kilimo (TARI), kituo cha Kihinga mkoani Kigoma, imetakiwa kusambaza teknolojia ya uchakataji mafuta ya mawese kufikia viwango vya ubora unaokubalika, ili kuhakikisha mkakati wa kuongeza uzalishaji wa mafuta ya kula nchini unafanikiwa.

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Alexander Mnyeti,  alitoa agizo hilo wakati akitembelea mabanda na kuzindua maadhimsho ya siku ya chakula duniani, ambayo kitaifa yanafanyika mjini yakitarajia kufikia kilele leo Oktoba 16.

Mnyeti alisema kuwa wakati huu ambapo wakulima wamehamasika kulima zao la michikichi kwa wingi ni vizuri mpango huo ukaenda sambamba na usambazaji wa teknolojia ya uchakati, ambayo itafanya mafuta yanayozalishwa na wakulima wadogo kuwa na ubora, hivyo kufanya lengo la kuongeza uzalishaji wa mafuta ya kula nchini kufanikiwa kwa haraka.

Akitoa maelezo kwa Naibu Waziri, Mtafiti wa kilimo kutoka kituo cha TARI Kihinga, Basil Kavishe alisema kuwa baada ya serikali kuwekeza nguvu kubwa kwenye kuinua kilimo cha michikichi mkoani Kigoma kumeanza kuwa na mafanikio katika kuongeza uzalishaji na sasa mpango ni kusimamia ukamuaji unaozingatia viwango vya ubora.

Kavishe alisema kuwa kwa hatua za awali tayari yupo mwekezaji, ambaye amehamasika na kufungua mashine ya kusafisha mafuta na kuwa na ubora wa juu sambamba na kurudisha virutubisho vilivyopotea.

 

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
3 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Janeanton
Janeanton
1 month ago

I’ve gained only within four weeks by comfortably working part-time from home. Immediately when I had lost my last business, mtg I was very troubled and thankfully
following website___________ http://Www.Careers12.com

Last edited 1 month ago by Janeanton
Elizabeth
Elizabeth
1 month ago

Last month I GOT payement of nearly $30k, this online work is simple and straightforward, don’t have to go OFFICE, Its home online job.( q03q) You become independent after joining this JOB. I really thanks to my FRIEND who refer me.
Just open the link——->> http://Www.SmartCareer1.com

Julia
Julia
1 month ago

I’ve earned $64,000 USD so far this year while studying full-time. I’m making a lot of money using an internet business opportunity I learned about. It’s quite user-friendly, and I’m overjoyed that I discovered it.
.
.
Detail Here————————————————————–>>>  http://Www.BizWork1.Com

Back to top button
3
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x