Watanzania waalikwa mbio za Great Ruaha
IRINGA: Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Peter Serukamba, amewataka wananchi wa Iringa na Watanzania kwa ujumla kujitokeza kwa wingi kujiandikisha na kushiriki katika mbio za Great Ruaha Marathon zitakazofanyika Julai 5, 2025, zikiwa na lengo la kukuza utalii wa Kusini na kutoa hamasa kwa jamii kuhusu uhifadhi wa mazingira. Akizungumza na vyombo vya habari ofisini … Continue reading Watanzania waalikwa mbio za Great Ruaha
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed