Watu 1,775 hatarini kupata upofu Lindi

WATU 1,775 kutoka Wilaya za Ruangwa, Nachingwea mkoani Lindi wako hatarini kupata upofu, baada ya kubainika kuwa na ugonjwa wa trachoma mwaka jana.

Mratibu wa macho Mkoa Lindi Dk Mwita Machage ameyasema hayo leo kwenye kikao cha uzinduzi wa mradi wa macho unaowezeshwa na Shirika la Sightsove,  kilichowashirikisha wataalamu wa afya, kutoka ngazi ya wilaya Nachingwea, Ruangwa, viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu wa Wilaya Nachingwea,Hsssan Ngoma.

Dk Machage mefafanua kuwa Wilaya ya Ruangwa walibainika wsgonjwa 885 na Nachingwea 890.

Habari Zifananazo

6 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Back to top button