ZAIDI ya watu 40 wamekufa wengi wao nchini Algeria katika moto wa nyika wa Mediterania unaotishia vijiji na maeneo ya mengi.
Ugiriki inajiandaa kwa safari zaidi za ndege za uokoaji kutoka Rhodes, kwani moto pia unawaka kwenye visiwa vya Corfu na Evia.
Moto ulioenea huko Sicily ulilazimisha Italia kufunga kwa muda uwanja wa ndege wa Palermo.
Idadi kubwa zaidi ya vifo kufikia iko nchini Algeria, ambapo watu 34 pamoja na wanajeshi 10 walizingirwa na miale ya moto wakati wa uokoaji katika Mkoa wa pwani wa Bejaia, Mashariki mwa Algiers. Bejaia ndio eneo lililoathiriwa zaidi.
Comments are closed.