WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewasili mkoani Tanga kwa ziara ya siku moja ambapo atapokea taarifa ya mradi wa upanuzi wa Bandari ya Tanga na kutembelea kiwanda cha kuzalisha saruji cha Maweni
Vile vile atafanya kikao na viongozi wa serikali, chama na viongozi wa taasisi za dini ya Kiislamu ya Ibadhi.
Waziri Mkuu amepokelewa na mkuu wa Mkoa wa Tanga Waziri Kindamba, pamoja viongozi wa chama na serikali