DODOMA; Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Moses Nnauye akiwasili bungeni jijini Dodoma leo Mei 16, 2024, ambapo atawasilisha bajeti ya wizara yake kwa mwaka 2024/2025.
#BajetiWHMTH2024/25 #SmartTanzania #TzDigitalTransformation #KaziIendelee