Waziri Silaa awaahidi raha waliochukuliwa ardhi Monduli

MONDULI, Arusha: WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amewahakikishia wakulima na wafugaji zaidi ya 120 kutoka Kijiji cha Loksale Wilaya ya Monduli, mkoani Arusha kuwa malalamiko yao ya kuchukuliwa ardhi ekari 47,000 na serikali kwa ajili ya matumizi ya jeshi linashughulikiwa na muda si mrefu watalipwa haki zao kwa mujibu wa … Continue reading Waziri Silaa awaahidi raha waliochukuliwa ardhi Monduli