Wema: Mungu ananitendea miujiza 

MSANII wa filamu, Wema Sepetu, amesema anamshukuru Mungu kwa kumtendea muujiza, kwani mambo yake hivi sasa yanaenda vizuri.

“Nafurahi mno mwezi huu, kwa sababu baadhi ya vitu vyangu vinakwenda sawa kama ninavyotaka na nilivyopanga, kiufupi Mungu amenitendea miujiza.

“Jamani mniache tu, huu ni mwezi wangu jamani, Mungu amenitendea mambo mengi mwaka huu, ni mwaka wangu hivyo waniache tu, ” amesema Wema.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button