Wema: Nimetimiza miezi 9 sijagusa pombe

DAR ES SALAAM: Msanii wa filamu nchini Wema Sepetu amesema miongoni mwa vitu alivyofanikiwa mwaka huu ni kuacha pombe, kwani tangu Januari hajaigusa.

buy rogaine online tennesseeambulance.com/wp-content/uploads/2023/10/jpg/rogaine.html no prescription pharmacy

Akizungumza kwenye sherehe ya siku yake ya kuzaliwa, Wema amesema mwaka huu ameona afanye sherehe kwani ni miaka mingi hajafurahia siku yake ya kuzaliwa.

buy inderal online tennesseeambulance.com/wp-content/uploads/2023/10/jpg/inderal.html no prescription pharmacy

“Sijasherekea siku yangu ya kuzaliwa siku nyingi, miaka kama 5, nafanyaga kawaida lakini leo ni tofauti nasherekea siku yangu ya kuzaliwa,mafanikio yangu kikubwa kuacha pombe, kwani ni vitu vingi nilivyopitia hadi nilipo sasa.

buy amaryl online tennesseeambulance.com/wp-content/uploads/2023/10/jpg/amaryl.html no prescription pharmacy

“Hakuna kitu kibaya kilichonikuta, nimeamua mwenyewe kwa kuwa tangu nianze kunywa pombe ni miaka mingi na haijanisaidia kitu chochote, ndo mana nimeacha natimiza miezi 9 tangu Januari nimeacha hadi leo, “amesema Wema na kuongeza kuwa mpenzi wake Whozu pia alichangia kumshawishi kuacha kwani alikuwa hapendi akimuona anakunywa.

Habari Zifananazo

3 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Back to top button