ARUSHA; Baadhi ya wenza wa viongozi wakiwa kwenye lbada ya Misa Takatifu ya Kumbukizi ya miaka 40 tangu kutokea kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Hayati Edward Moringe Sokoine.