Wimbo wa Taifa

Tanzania, Msumbiji kuongeza uwekezaji, biashara

Rais Samia Suluhu Hassan, akiwa amesimama na Mwenyeji wake Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi, wakati wimbo wa Taifa wa Tanzania ukipigwa kwenye mapokezi rasmi yaliyofanyika Ikulu ya Maputo nchini humo leo  Septemba 21, 2022.