Wizara kuanzisha skimu za umwagiliaji mashamba ya serikali

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega

WIZARA ya Mifugo na Uvuvi inakusudia kuanzisha skimu za umwagiliaji katika mashamba ya mifugo ya serikali na ujenzi wa maghala ya kuhifadhia malisho na vyakula vya mifugo ili kukabiliana na uhaba wa malisho.

Taarifa hiyo imetolewa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega bungeni jijini Dodoma wakati akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2023/2024.

Advertisement
Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *