Wolper: Tafuteni watoto

MWIGIZAJI wa filamu nchini Jackline Wolper ambaye ni mama wa watoto wawili amewashauri wanawake kuendelea kuzaa akiamini mtoto ni baraka.

Wolper amesema kuwa sio kila mwanamke anauwezo wa kupata mtoto “ukipata bahati hiyo acha kukimbia baraka,”

“Mungu akinijalia watoto idadi yoyote nitazaa kwa kuwa watoto ni baraka wapo watu wanatafuta watoto na hawajawai kupata kabisa.”

“Niwaombe wanawake msipishane na bahati hiyo ya baraka za watoto katika maisha yenu.” amesema Wolper

Habari Zifananazo

1 Comment
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Back to top button