Xhaka atimka Arsenal

KIUNGO Granit Xhaka amejiunga na Bayer Leverkusen kwa mkataba wa miaka mitano akitokea Arsenal.

Xhaka ametuwa kwa wajerumani hao kwa dau la pauni milioni 25.

Uamuzi wa Arsenal kumuuza Xhaka ni baada ya kukamilisha dili la Declan Rice kutoka West Ham United.

Xhaka alitua Arsenal 2015 akitokea ya Borussia Mönchengladbach nchini Ujerumani.

Habari Zifananazo

1 Comment
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Back to top button