Yanga, Azam kupigwa Jumatatu
KLABU ya Yanga imethibitisha kuwa mchezo wao wa Ligi Kuu dhidi ya Azam uliopangwa kuchezwa Jumapili umeahirishwa hadi Jumatatu ya Oktoba 23, 2023.
–
Mchezo huo utapigwa saa 12:30 uwanja wa Azam Complex, Chamazi.
–
Mabadiliko hayo yanajumuisha mchezo wao dhidi ya Singida Fountain Gate ambao sasa utachezwa Oktoba 27, 12:15 uwanja wa Mkapa Dar es Salaam.