Yanga kambini wiki ijayo

MENEJA wa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ally Kamwe amesema kuanzia Julai 10, 2023 wachezaji wa Yanga wapya na wazamani wataanza kuingia kambini tayari kujiandaa na msimu mpya.

Kamwe amesema hayo leo Julai 3, 2023 kwenye mkutano wa waandishi wa habari.

“Julai 10, wachezaji wataanza kuingia kambini wote wapya na wazamani watakutana Avic Town, alafu sasa ndio watajua Pre season itakuwa Avic au sehemu nyingine,” Ally Kamwe

Habari Zifananazo

1 Comment
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Back to top button