Yanga kuanza kutetea ubingwa wa ASFC leo

MABINGWA watetezi wa Kombe la Shirikisho la Azam, Yanga leo wanaanza kampeni za kutetea taji hilo katika mchezo wa kwanza dhidi ya timu ya Kurugenzi FC, mchezo utakaopigwa Uwanja wa Mkapa saa 1:00 usiku.

Yanga SC ilitwaa kombe la mashindano hayo kwa mikwaju ya penati 4-1 dhidi ya Coastal Union baada ya kumaliza dakika 120 na matokeo kubaki 3-3, mchezo uliopigwa Julai 2, 2022, katika dimba la Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
0 Comments
Inline Feedbacks
View all comments
Back to top button
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x