Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa na mwenyeji wake Rais wa Malawi Dk Lazarus McCarthy Chakwera, wakati akisalimiana na wachezaji na baadhi ya maofisa mbalimbali wa timu ya Yanga ambao walikuwepo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kamuzu Lilongwe nchini Malawi.


5 comments