Yanga Princess yaitandika Geita Gold

YANGA Princess imeitandika Geita Gold mabao 3-0 katika mchezo wa kirafiki wa utangulizi katika Tamasha la Wiki ya Mwananchi linaloendelea Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam.

Baada ya mchezo kukamilika, burudani ya muziki kutoka kwa wasanii mbalimbali inaendelea huku mashabiki wakiendelea kumiminika uwanjani uwanjani hapo.

Mchezo husika wa kusherehesha tamasha hilo kati ya Yanga na Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini utapigwa saa 1 usiku.

Habari Zifananazo

6 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Back to top button