Yanga waachana na Kisinda

“Tunamshukuru Kisinda kwa mchango wake katika kipindi chote alichokuwa nasi na tunamtakia kila la kheri katika maisha yake mapya nje ya Young Africans SC,” tamko kwenye ukurasa rasmi wa klabu ya Yanga muda huu kuhusu kuachana na nyota wao Tuisila Kisinda.