Yanga wapewa kombe lao

MABINGWA wa Ligi Kuu Bara, yanga leo wamekabidhiwa ubingwa wao baada ya kumalizika kwa mchezo wa mwisho wa ligi hiyo dhidi ya Tanzania Prisons.

Yanga imetwaa ubingwa huo ikiwa na pointi 78, wakifuatiwa na watani wao Simba wenye pointi 73.

Advertisement