Yanga yaaga Mapinduzi Cup

Yanga imeaga mashindano ya Kombe la Mapinduzi 2024 kwa kufungwa mabao 3-1 dhidi ya APR katika mchezo wa robo fainali uliopigwa uwanja wa Amaan.

Katika mchezo huo, mabao ya APR yalifungwa na Sanda 45, Mbaoma 50, na Shaiboub dakika ya 79.

Bao la Yanga lilifungwa na Moloko.

Advertisement

Yanga sasa itarejea Bara kusubiri kutamatika kwa michuano hiyo kuendelea na Ligi Kuu.