Yanga yamtangaza kocha msaidizi

YANGA imemtangaza Mousa Ndao kuwa kocha msaidizi. Kocha huyo atashirikiana na kocha mkuu Miguel Gamondi.

Yanga imetoa taarifa hiyo muda huu kupitia mitandao yao ya kijamii.

Habari Zifananazo

Back to top button