Yanga yamnasa winga kutoka Congo DR

KLABU ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili kiungo mshambuliaji Maxi Mpia Nzengeli kutoka AS Maniema.

Nyota huyo raia wa Congo DR amesaini mkataba wa miaka miwili.

Nzengeli anauwezo wa kucheza winga zote mbili, lakini pia nyuma ya mshambuliaji.

Habari Zifananazo

Back to top button