KLABU ya Yanga imetangaza kuingiza faida ya Sh milioni 500 katika msimu ulioisha Juni 2022/2023.
Yanga imetangaza faida hiyo kupitia Mkutano Mkuu uliofanya leo ukumbi wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam.
Msimu wa 2022/23 Yanga imetangaza jumla ya mapato ya Sh bilioni 17.8, huku matumizi yakiwa ni bilioni 17.3 hivyo faida iliyobakia ni Sh milioni 581.
Comments are closed.