Zaidi ya mil 400 kusambaza mitungi ya gesi Dodoma

CHAMWINO, Dodoma: MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule amesema Rais Samia Suluhu Hassan ametoa cha sh 406,712,250 kwa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuhudumia Mkoa wa Dodoma kwa kuuza kwa bei ya ruzuku mitungi ya gesi ya kilo 6 pamoja na vifaa vyake katika maeneo ya vijijini na pembezoni mwa miji ambapo kwa mkoa … Continue reading Zaidi ya mil 400 kusambaza mitungi ya gesi Dodoma