ACT yaongeza muda kuchukua, kurejesha fomu uchaguzi mkuu

CHAMA cha ACT – Wazalendo kimeongeza muda wa kuchukuwa na kurejesha fomu za kugombea nafasi mbalimbali ikiwemo ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Urais wa Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu. Nafasi zingine ni ubunge, ubunge wa viti maalum, uwakilishi, uwakilishi wa viti maalum, udiwani na udiwani wa viti maalum. Akizungumza … Continue reading ACT yaongeza muda kuchukua, kurejesha fomu uchaguzi mkuu