Ajenda ya nishati safi inavyoibeba Tanzania

JANUARI 27, mwaka huu macho ya mataifa yote ya Afrika yataelekea Tanzania wakati Mkutano wa siku mbili wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati utakapoanza ukiwa umebeba ajenda kuu ya kuhakikisha upatikanaji wa nishati ya umeme kwa wote. Mkutano huo uliopewa jina la Mission 300 (M300) unaongozwa na kaulimbiu inayosema: ‘Kuharakisha  upatikanaji wa Nishati … Continue reading Ajenda ya nishati safi inavyoibeba Tanzania