Asas ahimiza vijana kujiandikisha uchaguzi mitaa

KATIKA juhudi za kuhakikisha ushiriki wa wananchi katika uchaguzi wa serikali za mitaa, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Salim Asas amehimiza wakazi wote wa Mkoa wa Iringa kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, mwaka huu. Akizungumza na wanahabari mara baada ya kujiandikisha … Continue reading Asas ahimiza vijana kujiandikisha uchaguzi mitaa