Balozi Simuli awapa neno vijana Watanzania

BALOZI wa Tanzania nchini Uganda, Meja JeneraliĀ  Paul Simuli ametoa rai kwa vijana wote nchini Tanzania kushiriki michezo iliĀ  kupata ajira na kujenga mahusiano na nchi nyingine. Akizungumza leo Agosti 19, 2024 na wachezaji wa Tanzania wanaoshiriki mashindano ya 22 ya michezo ya shule za msingi na sekondari ya Nchi za Jumuiya za Afrika Mashariki … Continue reading Balozi Simuli awapa neno vijana Watanzania