Bandari ya Dar kuimarisha usafirishaji wa mazao
DODOMA — Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile, amesema kuwa Serikali imetenga eneo maalum kwa ajili ya kuboresha huduma za usafirishaji wa mazao ya mbogamboga, mifugo na matunda kupitia Bandari ya Dar es Salaam. Akijibu swali la Mbunge wa Mlalo, Rashid Abdallah Shangazi, kuhusu lini bandari hiyo iliyoboreshwa itaanza kusafirisha shehena hiyo, Naibu Waziri Kihenzile … Continue reading Bandari ya Dar kuimarisha usafirishaji wa mazao
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed