BoT: Uchumi umetulia

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imesema uchumi wa nchi umetulia. Gavana wa BoT, Emmanuel Tutuba ameeleza kuwa katika nusu ya kwanza ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 sekta ya fedha iliendelea kuwa thabiti ikiwa na viwango vya chini vya vihatarishi. Tutuba ameeleza hayo katika taarifa ya Mapitio ya Nusu Mwaka ya Tamko la Sera ya Fedha … Continue reading BoT: Uchumi umetulia