Chalamila: Ujenzi wa daraja Jangwani kuanza mwaka huu
DAR ES SALAAM; MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema, Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia kuanza kwa ujenzi wa Daraja la Jangwani utakaoanza mwaka huu ili kuondokana na changamoto ya mafuriko iliyokuwa inawakumba wananchi wanaozunguka eneo hilo. Chalamila alieleza hayo juzi wakati wa mkutano wake na wanahabari uliofanyika mkoani humo. “Kuhusu Daraja … Continue reading Chalamila: Ujenzi wa daraja Jangwani kuanza mwaka huu
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed