Changamkieni mikopo asilimia 10- Kiongozi mbio za mwenge
ARUSHA: VIJANA wametakiwa kuchangamkia fursa ya mikopo isiyokuwa na riba inayotolewa na serikali ya asilimia 10 za mapato ya ndani ya halmashauri ili waweze kujikwamua kiuchumi. Mikopo hiyo ambayo hutolewa kwa makundi ya wanawake kwa asilimia 4, vijana, asilimia 4 wanawake na na watu wenye mahitaji maalum asilimia 2 huwanufaisha wananchi hao endapo wakiitumia vizuri. … Continue reading Changamkieni mikopo asilimia 10- Kiongozi mbio za mwenge
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed