DAWASA yaanza kusafisha visima Dar

MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA), imeanza kuvitambua na kusafisha visima vya maji vilivyopo jijini Dar es Salaam, ili kukabiliana na uhaba wa maji katika Mkoa huo. Dawasa wakiongozwa na Ofisa Mtendaji Mkuu, Cyprian Luhemeja, wameanza kazi ya kusafisha visima vya Ilala Bungoni na Olympio Upanga. Akizungumza na HabariLeo, Luhemeja, amesema kazi ya … Continue reading DAWASA yaanza kusafisha visima Dar