Dk Biteko kufungua Mkutano Usimamizi wa Intaneti

DAR ES SALAAM; NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dk, Doto Biteko ndiye atakayefungua Mkutano wa 14 wa Jukwaa la Usimamizi wa Intaneti Afrika (AfIGF) Mei 29, mwaka huu Dar es Salaam, HabariLEO limebaini. Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), Dk Nkundwe Mwasaga amebainisha hayo leo wakati akizungumza katika … Continue reading Dk Biteko kufungua Mkutano Usimamizi wa Intaneti