Dorothy Semu atwaa fomu kugombea urais
DAR ES SALAAM: Kiongozi wa Chama cha ACT- Wazalendo, Dorothy Semu amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kuwa mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo leo Aprili 22, 2025. Dorothy amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa Oganaizesheni, Mafunzo na Uchaguzi wa Chama cha ACT Wazalendo, Shaweji Mketo katika Ofisi … Continue reading Dorothy Semu atwaa fomu kugombea urais
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed