Dorothy Semu atwaa fomu kugombea urais

DAR ES SALAAM: Kiongozi wa Chama cha ACT- Wazalendo, Dorothy Semu amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kuwa mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo leo Aprili 22, 2025.

Dorothy amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa Oganaizesheni, Mafunzo na Uchaguzi wa Chama cha ACT Wazalendo, Shaweji Mketo katika Ofisi za Makao Makuu ya ACT Wazalendo zilizopo Dar es Salaam.

 

Habari Zifananazo

One Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button