Sayansi & Teknolojia

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Teknolojia kupewa nguvu Afrika

DAR ES SALAAM: TANZANIA ni miongoni mwa nchi za Afrika zinazotarajiwa kushiriki mkutano wa Africa Blockchain Festival 2026, utakaofanyika nchini…

Soma Zaidi »

Ushauri wa JKT kwa vijana kuhusu matumizi ya mitandao

KIGOMA: Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele amewahimiza vijana wa Kitanzania kutumia mitandao ya kijamii…

Soma Zaidi »

Helios yazindua maabara ya Tehama, wanafunzi 873 Kalenga kunufaika

IRINGA: JUMLA ya wanafunzi 873 na walimu 43 wa shule ya Sekondari Kalenga iliyopo katika katika Halmashauri ya Iringa wanatarajiwa kunufaika…

Soma Zaidi »

Vijana waliopata ufadhili wa masomo wawasili N-AIST

ARUSHA; Vijana waliopata ufadhili wa mafunzo kupitia Programu ya Samia Scholarship Extended, wamewasili Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia…

Soma Zaidi »

Shirika la Camara lazindua kituo cha kidijitali shule ya umma Nyasa

NYASA, RUVUMA: Shirika la Camara Education Tanzania limezindua rasmi kituo cha kidijitali cha kujifunzia katika Shule ya Sekondari Mkali iliyoko…

Soma Zaidi »

Waziri Mkuu ataka ubunifu upelekwe sokoni

TANGA; Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba ameitaka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia pamoja na taasisi zake kuhakikisha bunifu zinazozalishwa…

Soma Zaidi »

Nyaishozi yajipanga mabadiliko chanya sayansi, mazingira

KARAGWE: Shule ya Ushirika wa Wakulima wa Kahawa KDCU Nyaishozi, iliyopo Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera, imejikita katika masomo ya…

Soma Zaidi »

Kairuki apongeza upanuzi huduma za intaneti

DAR ES SALAAM: Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Angellah Kairuki, amesema upanuzi wa huduma za intaneti kupitia mkongo…

Soma Zaidi »

Wabuni vigae vya ukutani kwa kutumia chupa za plastiki

TANGA; Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU) kimeendelea kujipambanua kama kitovu cha tafiti na bunifu zinazotoa majibu ya moja kwa moja…

Soma Zaidi »

HISTORIA: Intaneti ya Satelaiti yazinduliwa

KAMPUNI ya Airtel Africa imeandika historia baada ya kuzindua huduma ya Starlink Mobile, inayowezesha simu za mkononi kuunganishwa moja kwa…

Soma Zaidi »
Back to top button