Madini

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Maslahi ya taifa yawe kipaumbele mikataba ya madini

TANZANIA inakabiliwa na changamoto ya kuhakikisha mikataba ya madini inalinda maslahi ya Taifa kwa muda mrefu, wakati ushindani wa kimataifa…

Soma Zaidi »

Serikali yasisitiza tahadhari migodini kukabili El Nino

KAHAMA: Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba, ametoa maagizo kwa wamiliki na mameneja wa migodi nchini kuhakikisha…

Soma Zaidi »

Serikali kuongeza wigo wa utafiti wa madini

GEITA: SERIKALI imejizatiti kuimarisha utafiti wa kina wa jiofizikia kutoka takribani asilimia 16 ya sasa hadi angalau kufikia asilimia 50…

Soma Zaidi »

Bulyanhulu yapongezwa usalama wa wafanyakazi

SHINYANGA: KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imeipongeza OSHA na Mgodi wa Bulyanhulu kwa kuwekeza…

Soma Zaidi »

Kamati yaipongeza Bulyanhulu utekelezaji CSR

SHINYANGA: MGODI wa dhahabu wa Bulyanhulu umetenga na kutumia Sh bilioni 2 kila mwaka kwa ajili ya utekelezaji wa miradi…

Soma Zaidi »

Tanzania, Ghana kushirikiana kuwainua wataalam wa wanajiolojia

ACCRA:  Viongozi wa Chama cha Wanajiolojia Tanzania (TGS) na Taasisi ya Wanasayansi wa Jiolojia kutoka Ghana (GhIG) wamekutana na kufanya…

Soma Zaidi »

Tume ya Madini yatoa hati za makosa kwa miradi 42

DODOMA: Tume ya Madini imewaonya wamiliki wa miradi ya uchimbaji mdogo wa madini yenye Mikataba ya Msaada wa Kiufundi (TSA)…

Soma Zaidi »

Tume ya Madini yaimarisha ukaguzi migodi

DODOMA: Tume ya Madini imeendelea kuimarisha ukaguzi wa migodi ili kuhakikisha shughuli zote za uchimbaji zinafanyika kwa kuzingatia sheria, usalama…

Soma Zaidi »

Madini ya Sh Bil 1.3 yakamatwa Dar yakitoroshwa

DAR ES SALAAM; Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amesema serikali itaendelea kuchukua hatua kali dhidi ya wanaojihusisha na utoroshaji wa…

Soma Zaidi »

Tanzania kinara wa graphite Afrika

MJIOLOJIA kutoka Ofisi ya Afisa Madini Mkazi Mkoa wa Njombe, Abbas Mruma, amesema Tanzania inaendelea kujijengea nafasi muhimu duniani kutokana…

Soma Zaidi »
Back to top button