Featured

Featured posts

FIFA yaiwashia Tanzania taa ya kijani matumizi FVS

DAR ES SALAAM. TANZANIA imepata kibali FIFA kuendelea kutumia mfumo wa msaada wa video kwa waamuzi (Football Video Support (FVS),…

Soma Zaidi »

Dk Mwigulu asimikwa kuwa Kanoni Mlei Kanisa Anglikana Tanzania

TANGA; Waziri Mkuu Dk Mwigulu Nchemba, leo Jumapili, Oktoba 4, 2026, amesimikwa rasmi kuwa Kanoni Mlei (Lay Canon) wa Kanisa…

Soma Zaidi »

Makonda ataka michezo itumike elimu utunzaji misitu

MOROGORO; WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema michezo inaweza kuwa nyenzo muhimu ya kutoa elimu kwa…

Soma Zaidi »

Viongozi wa dini Kimara wapewa msaada wa vyakula

DAR ES SALAAM: Masheikh, walimu wa madrasa na viongozi wa dini katika Kata ya Kimara, Dar es Salaam, wamepatiwa tani…

Soma Zaidi »

Ndejembi: Ni wakati wa utekelezaji fursa zilizopo Afrika

MISRI:MAKAMU wa Rais wa Tanzania Deogratius Ndejembi, amesema Afrika ina sera, mikakati na makubaliano mazuri ya maendeleo, lakini sasa inapaswa…

Soma Zaidi »

Hisa wanazomiliki Waatanzania kampuni migodini kuchunguzwa

GEITA; Waziri wa Madini, Anthony Mavunde ameiagiza Tume ya Madini kufanya uchunguzi uhalali wa hisa wanazomiliki Watanzania katika kampuni za…

Soma Zaidi »

Aliyedaiwa kufagia fedha na nywele saluni adakwa

GEITA; Jeshi la Polisi mkoani Geita linamshikilia Faustine Zakaria, ambaye ni kinyozi kwa tuhuma za kuharibu kwa makusudi fedha halali…

Soma Zaidi »

Serikali yazindua mwongozo elimu ya fedha kwenye mitaala

DAR ES SALAAM: Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafidh Ameir, amezindua rasmi Mwongozo wa Kuchopeka Elimu ya…

Soma Zaidi »

Uhakiki wabaini deni la Sh Bil 1.78 KNCU

KILIMANJARO; Serikali ya Tanzania imeendelea kuchukua hatua madhubuti kuimarisha na kuinua vyama vya ushirika nchini, kwa lengo la kuhakikisha vinaendeshwa…

Soma Zaidi »

Mloganzila yalaza wagonjwa watano wa kiharusi kila siku

DAR ES SALAAM: Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila hulaza wagonjwa kati ya watano na saba wenye kiharusi kila siku, hali inayodhihirisha…

Soma Zaidi »
Back to top button